kwanza ndio kisima cha elimu tanzania,huwez ongelea mafanikio ya elimu bongo bila kuitaja udsm..
mlimani kinatajwa sana kwasababu ya ukwongwe wake. Ila kuna kozi zipo Mzumbe Mlimani hazipo, kuna Kozi zipo SUA mlimani hazipo, kuna kozi za MUHAS mlimani hazipo. Ila zina tija ndani ya nchi yetu.
Hatima yao ni pale watakapotaka kuendelea kusoma maana wengi wao hasa wale kina kijicho na alshabab hawapendi kusoma hivyo wao wakajaribu kilimo kwanza, siasa kwanza au uanaharakati kwanza, wale wengine 35 waliolazimishwa kubeba bango ninaimani serikali ya DARUSO ikiongozwa na Bwana Kilawa inafuatilia kona namna gani watarudi ingawa yeye atakua anafuatilia wote nina amini kina Warioba hawatakubaliana na hilo nami ninayependa malumbano ya hoja na si kuchapana viboko sikubaliani nao kurudi sasa hivivi ila naomba uongozi wa chuo kikuu wakingozwa na BARAZA la chuo na SENATE wawapunguzie adhabu wafukuzwe tu UDSM waruhusiwe kujiunga na chuo kingine kama kitahitaji wanaharahakaharaka kama kijicho, alshabab na wenzie!!! au wasimamishwe masomo kwa miezi kadhaa maana naamini kuna wengine infront of wanafuni wenzao ni majemedari ila wakirudi nyumbani ni madoko tu. Wale 35 naomba uongozi wa chuo warudishwe tu waendelee na masomo maana hawana hatia ila walijikuta mdomoni mwa mambo katika halaiki ya walio wengi.
Andare kumbuka niliweka wazi hapa kuwa atakayefanya mgomo kwa staili ya kijinga nitamtaja kwa majina na nilifuatilia nyendo zetu kwa staili kipelelezi. Hivyo sitasit kutaja majina ya wahusika walifanya ujinga. Kugoma muhimu katikas kudai haki ila haki yako isidhulumu haki ya mwingine. Simtaji kwa ubaya ila kwa kufanya mambo yasiyo na msingi., kumbuka nilishatoa listi ya waongoza ruti na mipango na sera zao tena kwa majina iweje nimtaje kwa ubaya. Mwisho wa siku sisi sote ni binadamu.
Swala kujua nilipo si kazi nipe miadi tukutane ujiandae kwa jambia, upinde, mshale, bunduki, vifaru na meno kwa kuwa sitojali kutengwa kichwa na kiwiliwili kwa kukemea uovu.
Karibu tule sikukuuu ya noeli hapa lamu hotel, lamu, mombasa, kenya
acha unafki.
Kuna kipindi ulikuja na sera kuwa wewe ni mwanafunzi wa TATAKI, kile kipindi jamaa wanalilia uwandani. Mkuu 'mphamvu', ambaye yuko banned kwa sasa, akakuomba mfahamiane ukatoa nje.
Au sio wewe?
Sasa hizo guts za kuniomba miadi mimi unazipata wapi?
Anyways, tunajua kuwa wewe ni kibaraka unaetumiwa na hao 'wenye uhai watatu' i.e. Mabhoko, Mgaya na 'The man himself'...
Unatumika very cheaply mdogo wangu, na hako kadhambi ka usaliti katakuhunt till the end of time, ungekuwa raia mwema sana ungekuwa kipaumbele kupigania mazingira bora ya kusoma hapo 'State University', sio kuwa mbele kutaja majina ya wagomaji...
Kwanza hata majina yenyewe huyafahamu, hujui kama kijicho anaitwa Baraka...
Umasikini wa mwili na roho ndio unaokusumbua, ila siku nitakayokuweka mikononi,
u're sucked big time bro!
duh!kumbe mphamvu kala ban,mkuu we ulijuaje na kalambwa ban kwa kosa gan?
si inaonekana kwenye profile yake?
Anyways, yule ni kijana wangu wa karibu, he's in TATAKI.
Taarifa zake ninazo, aliniambia kuwa matusi ndo yalimpa ban...
BTW: We unaona tukimdaka Mabulang'ati tumfanyeje kwa niaba ya umma wa UDSM?
Miezi minne mkuu, mpaka April hiyo...
He's sucked big time...
alidai hawezi, password zitamzidi ati.
Binafsi namiss sana michango yake...
Waliofukuzwa ni wanafunzi 61 na si 41 kama matangazo katika media, wameudanganya umma juu ya Idadi ya waliofukuzwa!