Nini faida ya kuroot simu ya android

2.3.6 mkuu

Kuna program inaitwa oneclickRoot kutoka amdroid download kama una pc na install kwenye hiyo pc. Nirahisi kutumia wametoa na list ya simu.zinazo weza being rooted. Check itakusaidia unatakiwa uwe na usb for connection,ila ni rahisi zaidi kama ingekuwa 3 nakuendelea. Program ni nzuri,inaondoa risk ya kuharibu simu.
 
Screen capture ndio nini naomba kuelimwishwa

Ni kupiga picha screen ya simu yako, ndo kama zile unaona watu wanatuma kutoka mitandao kama instagram nk.

Ni kupata taswira ya kilichopo kwenye kioo cha simu yako ambapo unakuwa na uwezo wa kuituma au kuitumia kama picha.
 
Swadakta

Terminology hii huitwa jailBreak ukija kwenye Applie devices

yani kuvunja security mechanism na limitation iliopo kwenye simu na ukaweka vitu utakavo we

-all the best

all the best yako ina sound kama, AT YOUR OWN RISK
 
Ni simu gani zinahitaji kufanyiwa rooting?
 
Hapa mi natumia Nokia XL, hii cm wameipa uwezo mdogo sana ina kama 1GB na sidhani kama inafika na ki-internet sio nzuri sana, ivo nami naweza kui-root!?
 
Ni kupiga picha screen ya simu yako, ndo kama zile unaona watu wanatuma kutoka mitandao kama instagram nk.

Ni kupata taswira ya kilichopo kwenye kioo cha simu yako ambapo unakuwa na uwezo wa kuituma au kuitumia kama picha.
Jinsi ya kupiga tafadhal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…