Hiyo ni ku-Gain Control over your Phone
e.g Huwezi Install some apps sababu ziko restricted kwako kufanya hivyo na Admin wako mfano kuna simu huwezi Install VPN client bila Root acess au huwezi install Screen capture bila root acess
Back up ni kucopy mafaili yako katika memory ya ziada kwa ajili ya usalama. Mfano unaweza kuback up phonebook katika memory card ambapo majina yatakuwa kwenye simu au laini na majina hayohayo kwenye memory card. Simu ikigoma kufanya kazi mfano kuwaka kabla ya kuiflash unatoa memory card. Ukishaflash na kufuta mafaili yote majina yako ynasalimika kwenye memory card na sim card.
Ipo SanDroidVPN,TROIDVPN,DROIDVPN, au hata OpenVPN zinakupa Internet ya Bure bila kikomo
Mi ningependa uanze kwanza namna yakuroot cm maana wengine tunasikia tu hatujui tuanzie wap tuishie wap hatujui mkuu.Pia ningeomba utujuze njia yakutambua cm niaina gan mfano hiz android mala nasikia 2v. 4v nashindwa kutambua.
Kuroot cm its a process kwangu binafsi napata tabu kuielezea hapa ila inafanana na kuformat computer yako halafu ukaweka window mpya...
Kwenye kutambua Androids Software nenda pale kwenye Settings ukishaingia Scroll mpka Chini utakuta menu imeandikwa "about phone" ingia hapo utakutana na line moja ya Software Version. Hizi versions ni sawa sawa tu na kama zile za kwenye Computer mfano Windows XP, Vista, 7, 8 etc. Na Android nao wana versions zao ndo zinaanza na 2.0 halafu na kendelea halafu zinaingia kubwa zake ndo utaskia Sandwitch, Ice cream, Jellybean na kuna mpya wametoa last week jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu.

Mie natumia blackberry 8520 version 4.6.1.314 je naweza kuifanyia rooting? Kama ndyo naomba mnitajie hzo software nnazo takiwa kuwa nazo niifanyie rooting ASAP
Mie natumia blackberry 8520 version 4.6.1.314 je naweza kuifanyia rooting? Kama ndyo naomba mnitajie hzo software nnazo takiwa kuwa nazo niifanyie rooting ASAP
natumia gt 5300 samsung naomba msaada wa kuroot
Yangu ni LG540-v20a ina hiyo system ya android sijui kamainawezekana tupen ufaham wandugu spets ili kukamilisha rooting process.