NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

NINI FAIDA YA KUFANYA MAPENZI

jacob_mabby

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
7
Reaction score
0
Asaalam ndugu na Jamaal!! Naomba kutambua ni faida zipi za kufanya mapenzi ingali mi na miaka 21. Nategemea kuanza mapenzi nikimaliza chi0!! Na zipi ni hasara za kutokufanya mapenzi kwa muda mrefu
Asanteni
 
hakuna faida yoyote kaka wala usikimbilie hayo mambo.
hakuna aliyewahi kufa kwa kutofanya ngono, ikiwezekana funga pingu za maisha na kuitafuta neema ya MUNGU. ngono ni utumwa wa mambo mengi
 
hakuna faida yoyote
Sent from my Nokia-Ya-Tochi using JamiiForums mobile apps
 
Faida ya kufanya mapenzi utaijua ukianza baada ya kuoa, kwa sasa soma dogo
 
Utoto raha sana. Shule hujamaliza, kujua kujipikia ugali mbichi hapo unajiona upo chuo? Haya, faida ya kufanya mapenzi kubwa sana unaweza pata mijimama ikakuzeesha upesi. Kwa hali ya chumba chako, dem wa haja si rahisi umpate. Siku hizi bei yao ni kubwa. Ukiendekeza hawa wa Ndalichako, utaenda Segerea na ukirudi huko unaitwa Babuu.
 
Mapenzi ni dhana pana, ikijumuisha mambo mengi pamoja na ngono. Mapenzi yanaweza kufanywa kwa namna tofauti tofauti pamoja na ngono. Mapenzi yakifanywa vibaya yana madhara makubwa ikiwa pamoja na kuvunjika moyo, kupata mimba na maradhi yanayopona au yasiyopona. Ni ushauri wangu kwamba, kutokana na ukomavu wa sura yako, achana na mapenzi utapoteza muda wako, fanya ngono tu.
 
Back
Top Bottom