Nini faida ya ku root simu

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
48
nimekuwa nasikia hapa jukwaan members wakizungumzia ku root simu zao je hii kitu inaumuimu gan?
 
nimekuwa nasikia hapa jukwaan members wakizungumzia ku root simu zao je hii kitu inaumuimu gan?

kaka anton kuroot moja ya faida yake ni mfano simu zenye internal memory ndogo utahamisha app. Zako kwenda ktk sd card au utaondoa app zisizo za muhimu kwako na kuweka zile uzipendazo.ila nasikia kama si mtaalam unaweza ukaua simu yako jumla.usijaribu kaka
 
maana yake ni kuchukua mamlaka juu ya simu kwa 100%. yaani utakuwa na uwezo hata wa kufuta baadhi ya files ambazo zilikuwa zimefichwa(System files access). Pia ni hatari sana sitakushauri ufanye hivyo.

kama simu yako ina uwezo wa ku install apps kwenye memory card, au kama simu yako inayo internal memmory ya kutosha basi Rooting sio muhimu. Pia ukifaya rooting utapoteza Warranty ya kifaa chako.

nimekuwa nasikia hapa jukwaan members wakizungumzia ku root simu zao je hii kitu inaumuimu gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…