Vidonda vya koo huwa pia ni dalili ya kansa ya koo ambayo kwa sasa inashika kasi sana ikiwaathiri zaidi vijana waliopo katika umri wa kati ya 20 hadi 30 maana hawa ndio mabingwa wa kupeleka midomo na ndimi zao huko uvunguni yaani oral sex a.k.a uvinza.Ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda kooni kwa muda mrefu kiasi hata kumeza hata maji tu inamletea maumivu, ametumia pen v mpaka basi lakini hakuna kitu ,mwenye ufahamu wa dawa atiririke hapa.
Mwambie ndugu yako aache upumbavu, mtu anaumwa halafu anakaa nyumbani anategemea ushauri atapewa na watu baki badala ya kwenda hospital tena kubwa kupewa majibu ya vipimo?!Ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda kooni kwa muda mrefu kiasi hata kumeza hata maji tu inamletea maumivu, ametumia pen v mpaka basi lakini hakuna kitu ,mwenye ufahamu wa dawa atiririke hapa.
Ujumbe umemfikia nitampa majibu yake mujarabu kbsMwambie ndugu yako aache upumbavu, mtu anaumwa halafu anakaa nyumbani anategemea ushauri atapewa na watu baki badala ya kwenda hospital tena kubwa kupewa majibu ya vipimo....?!
Aende hospital chap
Nenda Rabininsia hospitali iliyoko NAMANGA kama unaelekea Bunju.Ndugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda kooni kwa muda mrefu kiasi hata kumeza hata maji tu inamletea maumivu, ametumia Pen V mpaka basi lakini hakuna kitu, Mwenye ufahamu wa dawa atiririke hapa.
Acyclovir tabs ilinisaidia sana, ila nilitibiwa TMJ enzi hizoNdugu yangu anasumbuliwa sana na vidonda kooni kwa muda mrefu kiasi hata kumeza hata maji tu inamletea maumivu, ametumia Pen V mpaka basi lakini hakuna kitu, Mwenye ufahamu wa dawa atiririke hapa.