Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,315 Jun 14, 2021 #1 Pana eneo Dar es Salaam linaitwa Basi Haya. Nini historia/sababu ya jina hilo?
Njiwa wangu Senior Member Joined Dec 5, 2020 Posts 146 Reaction score 289 Jun 14, 2021 #2 Wanyaturu hapo mzee
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,315 Jun 14, 2021 Thread starter #3 Munyidemu said: Wanyaturu hapo mzee Click to expand... Kumbe ni watani zangu Wanyampaa?
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,098 Reaction score 10,610 Jun 14, 2021 #4 Boko Basihaya
Njiwa wangu Senior Member Joined Dec 5, 2020 Posts 146 Reaction score 289 Jun 14, 2021 #5 Mlenge said: Kumbe ni watani zangu Wanyampaa? Click to expand... Kabisaa mkuu
Njiwa wangu Senior Member Joined Dec 5, 2020 Posts 146 Reaction score 289 Jun 14, 2021 #6 Maana yake ya neno "BASIHAYA" ni kukubali Jambo Fulani japo sio kupenda sanaa
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,315 Jun 14, 2021 Thread starter #7 Munyidemu said: Maana yake ya neno "BASIHAYA" ni kukubali Jambo Fulani japo sio kupenda sanaa Click to expand... Kwa nini hapo paliitwa hivyo?
Munyidemu said: Maana yake ya neno "BASIHAYA" ni kukubali Jambo Fulani japo sio kupenda sanaa Click to expand... Kwa nini hapo paliitwa hivyo?
Njiwa wangu Senior Member Joined Dec 5, 2020 Posts 146 Reaction score 289 Jun 14, 2021 #8 Mlenge said: Kwa nini hapo paliitwa hivyo? Click to expand... Kuna mtu hapo alikuwa kigogo kwenye idara Fulani ni mtu wa Singida dc kwa hiyo hako kamtaa wanyaturu wengi sana na kigogo huyo hapo maeneo no kwake
Mlenge said: Kwa nini hapo paliitwa hivyo? Click to expand... Kuna mtu hapo alikuwa kigogo kwenye idara Fulani ni mtu wa Singida dc kwa hiyo hako kamtaa wanyaturu wengi sana na kigogo huyo hapo maeneo no kwake
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,315 Jun 14, 2021 Thread starter #9 Munyidemu said: Kuna mtu hapo alikuwa kigogo kwenye idara Fulani ni mtu wa Singida dc kwa hiyo hako kamtaa wanyaturu wengi sana na kigogo huyo hapo maeneo no kwake Click to expand... Uhusiano wa maneno "Basi Haya" na Wanyaturu ni upi?
Munyidemu said: Kuna mtu hapo alikuwa kigogo kwenye idara Fulani ni mtu wa Singida dc kwa hiyo hako kamtaa wanyaturu wengi sana na kigogo huyo hapo maeneo no kwake Click to expand... Uhusiano wa maneno "Basi Haya" na Wanyaturu ni upi?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Jun 14, 2021 #10 Bondpost said: Boko Basihaya Click to expand... Inawezekana palikuwa na Mnyalu anaanguswa hapo Ukiona nimenyamasa Basihaya niangusage ni sambi sako
Bondpost said: Boko Basihaya Click to expand... Inawezekana palikuwa na Mnyalu anaanguswa hapo Ukiona nimenyamasa Basihaya niangusage ni sambi sako
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,098 Reaction score 10,610 Jun 14, 2021 #11 Faana said: Inawezekana palikuwa na Mnyalu anaanguswa hapo Ukiona nimenyamasa Basihaya niangusage ni sambi sako Click to expand... Hahahah hiyo hapo kulikuwa na docho ya wanyaturu mzee. Basihaya ni neno moja. Mhehe angesema niangusage Ila saaambi sako mwenyewe na sijavaa suupi dada ameenda nayo mnadani😃😃😃😃😃 maana yake umeshakuwa alerted kwamba amekubali
Faana said: Inawezekana palikuwa na Mnyalu anaanguswa hapo Ukiona nimenyamasa Basihaya niangusage ni sambi sako Click to expand... Hahahah hiyo hapo kulikuwa na docho ya wanyaturu mzee. Basihaya ni neno moja. Mhehe angesema niangusage Ila saaambi sako mwenyewe na sijavaa suupi dada ameenda nayo mnadani😃😃😃😃😃 maana yake umeshakuwa alerted kwamba amekubali
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,451 Reaction score 50,183 Jun 14, 2021 #12 Bondpost said: sijavaa suupi dada ameenda nayo mnadani Click to expand... 🤣 you made my day🤣
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,098 Reaction score 10,610 Jun 14, 2021 #13 Faana said: 🤣 you made my day🤣 Click to expand... Hapo unapiga ngwara tu mzee 😃 sema wanakamata mimba fasta😃😃
Faana said: 🤣 you made my day🤣 Click to expand... Hapo unapiga ngwara tu mzee 😃 sema wanakamata mimba fasta😃😃