Nini Chanzo na Tiba ya Kukosa Pumzi Wakati Umelala?

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
Anatomy of Obstructive Sleep Apnea.png

TATIZO la kukosa pumzi wakati umelala (Obstructive Sleep Apnoea ‘OSA’) ni hali inayotokea wakati kuta za koo zinapopumzika na kuwa nyembamba, hivyo kushindwa kupitisha pumzi vizuri wakati umelala.

Tatizo hili linaweza kutokea kwa jinsi mbili tofauti: kwanza, ni kukosa pumzi kabisa (apnoea) kwa sekunde 10 au Zaidi, na pili, ni kukosa pumzi kwa asilimia 50 (hypopnoea) kwa sekunde 10 au zaidi.

Kwa habari zaidi, soma hapa => Nini Chanzo na Tiba ya Kukosa Pumzi Wakati Umelala? | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom