Hauijui KATIBA yetu. Nadhani JK kuna kitu alijifunza kwa kuzifunga zile kamba za viatu vya yule mtoto. Kwamba hatuna kiwanda cha viatu Nchi hii kama ilivyokuwa BORA SHOES enzi za Mwalimu.waziri mkuu yupo na ndo mtendaji wa serikali. kama hatimizi majukumu yake nafikiri tusimtwishe mzigo rais
na uzee wako huo unaona kufungwa kiatu na raisi ni kitu cha maana sana......eti atakumbuka maisha yake yote.......tukisema tunataka matendo sio maneno sio hayo ya kufunga watoto viatu au kuwapa pipi bana aaaghhh!!!!!!!!Kitendo hiki kinaweza kufanywa tu na mtu anayejali,hebu tazama wale watu wa serikali nyuma yake.
Si rahisi kuamini kuwa miaka ya 60 mimi nikiwa mdogo sana umri wa mtoto huyo, vilevile nilkutana na Mwalimu uso kwa uso nikiwa ndani ya nguo za Young Pioneers.Na Mwalimu alifanya kama JK anavyofanya sasa.
That boy will remember this for his entire life.
kwani cha ajabu nini hapa we mtoa mada?au ndo kila kitu watu tuwe critic tuuuu,ujinga na utoto huo,ebu waza mambo ya manufaa eti,kwani kumfunga didamu mtoto kunasababisha shida gani?He is a caring father,close to people,not afraid to touch anyone!angekuwa Obama ungesifia kisa foreigh=ner,acha tabia yako chafu wewe mtoa mada!!
na uzee wako huo unaona kufungwa kiatu na raisi ni kitu cha maana sana......eti atakumbuka maisha yake yote.......tukisema tunataka matendo sio maneno sio hayo ya kufunga watoto viatu au kuwapa pipi bana aaaghhh!!!!!!!!
kwanza huyo mtoto anaonekana ana njaa, asubuhi alipiga uji wa limao.amechezeshwa gwaride kwenye jua kali, midomo imekauka, ana kiu, anaweza akaanguka kama raisi wakati wowote.
Jamaa hana kazi! Wakati watu wanahangaika kutafuta suluhu ya umeme yeye wala hana lolote analojua! Adrenalin level yake ni zero na huyo ndiye kamanda wetu katika vita!!
BWANA Yesu alisema atakayempokea mmoja kati ya watoto hawa, amenipokea mimi, Huyu jamaa kajishusha kwa watanzania, ina maana yuko chini kwa watu wote, HII NI SEHEMU YA KAMPEINI
wengi hapa wamemuona na kujifunza kwa rais tu mi nimemuona huyu mlizi/mpambe wake nae kainamisha kichwa anamuangalia rais badala ya kuangaza macho huko na huko[kuwasiliana na wenzake ili kuhakikisha hali ya usalama wa mkulu,
kwani kazi ni nini? ulichoona wewe ni umeme tu ndo kazi? au huyo mtoto ambaye anaitwa taifa la kesho haitaji kuonyeshwa mapenzi hata ya kufungwa kamba za viatu ili ajue kuwa wakati wake utakopofika nafsi ya upendo ndo inajenda nchi?
au hujui kuwa penye upendo ndo umoja unakuwepo, na penye umoja ndio hayo ya umeme hutatuliwa?
vipi familia yako unaionyesha upendo unaostahili?
kwa upande wangu Rais ni wa watu wote so kila kitu kina nafasi yake na wakati wake so hiyo nihaki ya mtoto katika mazingira hayo unayoyaona hapo.