Ningependa kuona Mbunge wa CCM anaoa mbunge wa upinzani..

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
17,668
18,983
Habari za Weekend..

Siasa sio uadui jamani, ni kujenga hoja na kuziuza hoja zako kwa wananchi kutegemeana na sera na ilani ya chama chako..

Hivyo ningependa kuona Mbunge wa CCM anaoa mbunge wa upinzani kuleta umoja na upendo, kuonyesha siasa si uadui..!!

Weekend njema
 
Haitaaezekana kamwe.Pile sana maana upande mmoja umeshaweka mazingira ya kuona Upinzani ni uadui
 
Jamaa wanapendana balaa,kama huamini nenda mnadani Dom uone wanavyopeana kilaji.fitna mtaani tu lakini wao akhaaa! habari hawana.

Safi sana, ndio napenda hivyo, sbb itawafungua wananchi kuwa siasa si uadui hasa wakiona wabunge are lovers..na hata kuoana
 
Habari za Weekend..

Siasa sio uadui jamani, ni kujenga hoja na kuziuza hoja zako kwa wananchi kutegemeana na sera na ilani ya chama chako..

Hivyo ningependa kuona Mbunge wa CCM anaoa mbunge wa upinzani kuleta umoja na upendo, kuonyesha siasa si uadui..!!

Weekend njema
Au wa CCM kuchapwa nao na wa upinzani
 
Back
Top Bottom