Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka alipoziona (especially kwa ya kwanza) maana nimezipenda mno alafu nimechoka simu yangu kwa sababu ya Memory yake ndogo na kutokuwa na Rom za Jellybean (CM10)..
1. HUAWEI Y300 -Huawei Ascend Y300 - Full phone specifications Hii ndio nimeipenda mno.
2. SAMSUNG GALAXY YOUNG S6312 -Samsung Galaxy Young S6310 - Full phone specifications ..Hii ni second option yangu.
Ntashukuru sana msaada wenu.

Hiyo samsung ukiangalia comment zake net wengi wanaiponda sana.. Jifunze kuangalia comment za waliowaho kuitumia nadhani itakusaidia sana kufanya maamuzi yaliyosahihi.
mkuu kwa smartphone wengi tunapendelea application kwa sababu zote zina run android 4.1 basi nakushauri uchukue samsung kwa sababu ya ukubwa wa ram 768 wakti huawei ni 512 ram hizi zenye ram ndogo mara nyingi huwa zinstack ila kama ni mpenzi wa kupiga picha mara kwa mara basi bora uchukue huawei coz in mp 5 wakati samsung ni 3.15
hvi kumbe ram unaeza ongeza mi najuaga za comuter tu ndio zinazoongezeka.ila bora nimeongeza kituCamera ya 5mpx + flash ni bonge la plus kwenye huawei ndio kilicho nivutia
Ram naeza ongeza kwa kutumia Ramexpander
hawa tigo watakuwa wehu yaani iphone 4s uuze i.4 m je i phone 5 watauzaje??Tigo nimeona kwenye website wanaziuza at 1.4mil
Inauzwa.com watu wanaziuza mpya 550,000 hadi 700$
Habarini za mchana/asubuhi/usiku wakuu. Nilikuwa naomba kwa anayejua bei kamili ya hizi simu dukani au kashaziona kwenye pita pita zake hapa na pale, Angeni saidia kunitajia na pia hata duka alipoziona (especially kwa ya kwanza) maana nimezipenda mno alafu nimechoka simu yangu kwa sababu ya Memory yake ndogo na kutokuwa na Rom za Jellybean (CM10)..
1. HUAWEI Y300 -Huawei Ascend Y300 - Full phone specifications Hii ndio nimeipenda mno.
2. SAMSUNG GALAXY YOUNG S6312 -Samsung Galaxy Young S6310 - Full phone specifications ..Hii ni second option yangu.
Ntashukuru sana msaada wenu.
Iyo kwenye site yao wameilist bei ya gari dogo zuri hata mimi sikuamini 2,000,000 tshs..Kwa hii bei unanunua kiwanja, au inaeza kuwa mtaji wa biashara ndogo au unanunua Galaxy S4+ laptop moja matata yenye core i3hawa tigo watakuwa wehu yaani iphone 4s uuze i.4 m je i phone 5 watauzaje??
naogopa kuroot naoogpa kukosa access na PLAYSTORE,si unajua ile nndiommpnago mzima,ingawaje najua kjuna nnjia nyingine za kudoownload apps baada ya kur oot ila for the time being bado sijashawishikaIyo kwenye site yao wameilist bei ya gari dogo zuri hata mimi sikuamini 2,000,000 tshs..Kwa hii bei unanunua kiwanja, au inaeza kuwa mtaji wa biashara ndogo au unanunua Galaxy S4+ laptop moja matata yenye core i3
Na pia mkuu ukiwa una simu ya android ambayo ni rooted unaweza download hii app https://play.google.com/store/apps/details?id=com.swapit.expander.de&hl=en ambayo ita use kiasi flani unacho penda wewe cha SD card na kutengeneza swap file ambalo litatumika kama Ram ya simu. Naitumiaga nikiwa natumia apps amabzo zinaitaji Ram nyingi kwa mfano magame kwenye simu yangu.
naogopa kuroot naoogpa kukosa access na PLAYSTORE,si unajua ile nndiommpnago mzima,ingawaje najua kjuna nnjia nyingine za kudoownload apps baada ya kur oot ila for the time being bado sijashawishika
OK poa nikihitaji kufanya hivyo nitakuconsult.Rooting aikukoseshi access na playstore .Kwa experience yangu fupi na android ya miaka 3 kila simu yangu nimeroot lakini playstore na download na ku update apps bila shida
Camera ya 5mpx + flash ni bonge la plus kwenye huawei ndio kilicho nivutia
Ram naeza ongeza kwa kutumia Ramexpander
Ahsante kwa information mkuu ..mkuu utakuja hiyo huawei inapatkana ktk maduka ya tigo kwa sh 195000 na please naomba nisaidie maujanja ya kuongeza hiyo ram