O Octoba sitiki Member Joined Jul 15, 2025 Posts 20 Reaction score 31 Aug 4, 2025 #1 Habari ya jion wanajanvi. Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
Habari ya jion wanajanvi. Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
mankizzo JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 658 Reaction score 523 Aug 4, 2025 #2 Yupo huwa huangali video za mahakamani za muhaini wanaemwita
O Octoba sitiki Member Joined Jul 15, 2025 Posts 20 Reaction score 31 Aug 4, 2025 Thread starter #3 mankizzo said: Yupo huwa huangali video za mahakamani za muhaini wanaemwita Click to expand... Wanaemwita?? Ina maana hiyo kesi kumbe wanamsingizia?!
mankizzo said: Yupo huwa huangali video za mahakamani za muhaini wanaemwita Click to expand... Wanaemwita?? Ina maana hiyo kesi kumbe wanamsingizia?!
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,813 Reaction score 15,850 Aug 4, 2025 #4 Anaishi huko KILABU HAUSI analala jicho moja
mankizzo JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 658 Reaction score 523 Aug 4, 2025 #5 Octoba sitiki said: Wanaemwita?? Ina maana hiyo kesi kumbe wanamsingizia?! Click to expand... Humbe umeelewa
Octoba sitiki said: Wanaemwita?? Ina maana hiyo kesi kumbe wanamsingizia?! Click to expand... Humbe umeelewa