Bwanamkulima
Member
- Dec 17, 2023
- 16
- 15
- Thread starter
- #21
Kwenye biashara huwa hatuigani kila mtu anawazo lake. wazo lingine linaweza kutumia mtaji mkubwa lakini likakuletea faida kidogo na wazo lingine litatumia mtaji kidogo tu na kukuletea faida kubwa.Milioni 2 kwa kariakoo haitoshi,
Mfano zile meza wanazopanga mbele ya maduka maarufu vichanja zinakodishwa kuanzia laki moja hadi laki moja na nusu kwa mwezi na ukitaka uimiliki iwe ya kwako inauzwa ml 2 hapo bado hujamlipa dalali.
Kwa hiyo ukikodi kwa laki moja unabakiwa na Tsh.800,000/= ikiwa utakodi kwa mwaka mzima au miezi 6 utabaki Tsh.1,4000,000/= na hapo bado hujatoa pesa ya dalali .
Kumbuka unakodishwa nafasi sio na meza itakulazimu ununue vhumba utengeneze meza au ununue mbao imtafute fundi akutengenezee, pia kunakunua mwamvuli mkubwa sio chini ya laki na nusu.
Pesa itakayobaki ndio mtaji wako .