NINGEOMBA KUJUA

mdasitu

New Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2
Reaction score
0
Je ikiwa mtu ameshasajiliwa kwenye chuo kimoja bachelors degree. je kuna uwezekano wa ku apply chuo cha open university na akasomea shahada nyingine tofauti
 
Haiwezekani kusajiliwa vyuo viwili kwa wakati mmoja, tcu watakutumia password uchague chuo kimoja
 
na ningependa kujua kuhusu credit transfer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…