Ningeomba Hii iwafikie Woote...

Kuna mingine unaituma sms ya maana yanajibu 'K'. Mijinga sana..
 
Keepads s na x zinakaribiana pia a sasa ikigonga x watu huacha tu kuokoa mda ndio maana utakuta badala ya mama itasoma msms
 
Xawa tumexikia tutajirekebixha mapema xana.[emoji3] [emoji3] [emoji3] . Natania tu, usije nuna
bureee. Mie binafsi sipendi mtu afupishe maneno huwa nakereka sana. Tabia hiyo waachiwe watoto wanaosumbuliwa na balehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…