Ningeomba Hii iwafikie Woote...


Wanaojibu hivyo kama ni wanaume basi ni [emoji115]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji2] we noooma sana!
 
Yaani hiyo tabia sijui huwa wanatoaga wapi, sio mwanaume hata mwanamke akiniandikia hivyo namdharau kabisaaa, huwa wanaudhi kweeli yaani.
Huwa napambana nao kweli na wengine siwajibu kabisa
 
Xawa wamexhakuelewa[emoji30] [emoji30] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mimi huwa napata fukuto kabisa afu unakuta ni msomi wa elimu ya juu....mimi nakuambia tu ukinichukia nichukie
 
Mihuwa nachekukwa pale unapomtumia mtu sms yamaana alafu anakujibu p...kinacho fuatia hapo siku akinitumia sms namimi namjibu Q
 
Yaan mm ndio nilishaacha kujibu sms za hivyo. Ht kuna mtu nilimuacha kwsbb hiyo. Kwangu mm naona km ni utoto na ujinga.
mm=mimi
Ht=hata
kwsbb, km, yaan,
ugonjwa ule ule!! mna matatizo gani??
 
kama ulikuwa kichwani mwangu, wanakera sana hawa nyau.
 
yule mzee wa kwenye sani alikuwa anaitwa nani vile?!yule akikuta unaharibu lugha anakuchapa
 
Mimi huwa wakinitumia sms za staili hiyo nauchuna wala hata simjibu awe mwanaume au mwanamke, sitaki maandishi ya kipuuzi mimi.
 
Unajua wengine Na vikatuni vyao mwanaume anakutumia emoji ya haina hii [emoji1476] jaman wanaume kwel ????? Sio poa bhna.
 
Seriously,hata mm cpend au mtu aandke p... Uyo cyo gentleman n teenager
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…