Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Hawajui kwamba inawashushia heshima
Yaani tabia hiyo inakera hasa hivi videmu vya mwendokasi vyanachuo au vilivyo graduate..!Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Eti ehh..!!!Ukiwauliza watakwambia wanabana matumizi ya herufi katika Alfabet.
Yaan mm ndio nilishaacha kujibu sms za hivyo. Ht kuna mtu nilimuacha kwsbb hiyo. Kwangu mm naona km ni utoto na ujinga.kwanza sipendi mwanaume anayejibu kwa kifupi hivo eti thx? ndo nin..sipendi vile hawajui tuuu
Na hili la R NA L ..Kama wewe ni Mwanaume,halafu nakutumia
message unanijibu kwa kutumia neno
Xawa, Xaxa, Xio, Xixi napenda kukutaarifu una dalili za
kuwa Mike Tyson wa Tanzania...How can you???
Kiswahili sahihi kipo tena rahisi tu, unashindwa nini
kusema Sawa, Sana, Sisi eti unatumia X...Kubwa zima,swagger zenu pelekeni huko huko, mnaiga
mambo yasiyo na msingi...Na hata wewe mwanamke
ukinitext Xawa, Xaxa sitakujibu...kama huwezi
kiswahili fasaha ulichofundishwa usinilete!Mambo
yenu ya tamthilia za marichui ziishie kwenu.Mnakera
mno na huu upuuzi!
Mungu bariki Kiswahili Fasaha!
Kuna kusoma na kuelimika, unaweza kua msomi lakin hujaelimika.Ah, yani kuna wengine ni wasomi wa degree kabisa lakini bado wanatumia
Uko kama Mimi yaani nakuona kama boya sanaAwe demu au dume akiniandikia ayo ma xx siwez reply,.niki reply nampa somo jinsi ya kuandika