Ningeoa asubuhi hii lazima ningebust

Ooouh.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Basi ungefanya kuicheki stimu zikate Uamke ukaoge Uendelee na Majukumu Mengine!
Nikicheki nguvu zangu za kiume zikipotea je mkuu?
 
........Noma sana mwanangu!!!
 
Jana tu nimetoka kumla,Asubuhi hii tena nimcall her for sex what kind of love is,sawa ni wajibu wake lakini muda mwingine tunajishitukia siyo kwamba atazingua ila vile tunasoma mawazo yake yatakavyokuwa
Hapo ndo umuhimu wa mwanaume kuwa na wake wawili hadi wanne unapokuwa.
 
Kule kwetu Kondoa hali hii inaitwa Kididimankanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…