Ningekuwa Rais:Ningeleta Katiba ya Warioba,Serikali ya Majimbo na Taasi Madhubuti!

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,436
2,000
Ningependa Kutumia Uhuru Wangu wa Kikatiba na Ule wa Ndani ya Chama Changu cha Mapinduzi Kuelezea Misimamo Yangu Binafsi!
Mimi ni Muumini wa Serikali Tatu,Katiba ya Warioba na Serikali ya Majimbo!
Muundo wa Sasa Unakibeba CCM Kama Chama Dola!
Chama Kwanza Nchi Baadae!
Ila mimi Kama Mzalendo,Nasema Nchi Kwanza Chama Baadae!
Ningependa Tuwe na Muundo Kama Wakenya!
Na Kila Jimbo Likusanye Kodi Zake na Sio Kusubiri Kauli Toka Ikulu!
Pia Muundo wa Sasa Unazima Taasisi Kufanya Kazi Kiufanisi Kwani Zinaweza Ingiliwa Kisiasa!
Tuwe na Katiba Itayowapa Wananchi Kupitia Bunge Kuajiri Watumishi Katika Taasisi Zetu na Sio "Kumchosha" Rais na Kazi ya Uteuzi!
Bunge Likifanya Hivi Tutapunguza Unafiki na Kujipendekeza!
Mabadiliko Haya Yasipokuja Leo,Yatakuja Kesho!
Ni Jambo la Muda Tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom