Shagiguku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 407
- 133
Habari za leo wanaNzengo wenzangu wa Tanzania popote pale mlipo duniani.
Ningekuwa mimi ndiyo mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela Ningeitengeneza barabara ya kutoka jengo la ofisi ya mkuu wa wilaya kuelekea shule ya msingi Lukobe kupitia mtaa wa Buteja kwa kuanzia na kiwango cha MORAMU.
Lakini siyo hivyo tu, pia ningewatengenezea barabara za mtaani wakazi wote wa mitaa ya Buteja na Lukobe kwa kiwango cha moramu kwa kuwa halmashauri ilipowagawia viwanja maeneo hayo inaonesha wazi kabisa walilipia (katika kugawiwa viwanja hivyo) huduma za MAJI, BARABARA, NJIA ZA UMEME na VIWANJA VYA WAZI VYA MICHEZO. Lakini kwa sasa imekuwa ikiwawia vigumu saana kupitisha vifaa/ material ya ujenzi kuelekea kwenye viwanja vyao kutokana na ukweli kwamba hawakuchongewa barabara za mitaani.
Kwa leo wanaNzengo hayo yanatosha, iwapo ningekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilemela jijini Mwanza ningefanya hayo.