Naona umezidiwa na upofu wa Uchadema,kwako wewe hakuna jema lifanywalo na serikali au raisi wetu lakini baado unaenjoy mema yafanywayo na serikali na raisi huyohuyo .Mnajifanya nyie''ndio mnajua kila kitu'' wakati hakuna mnchojua zaidi ya kelele za debe tupu,nadhani umesahau kwamba jamaa yenu alikuwa anashinda makanisani na misikitini akipiga ''siasa'' lakini kwa kuwa kumbukumbu zenu zimetawaliwa na Uchadema basi mnajifanya wasahaulifu,na ndio maana kamwe hamtaweza kutawala nchi hii kwa unafiki wenu.Mungu hawapendi wanafiki.Huyo rais anayepeleka majungu mazabauni , atajibiwa mazabauni .
Hata akifanya hayo hawezi kutoka tena Kisiasa!! ENL is politically finished!!Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Unamshauri atembelee nyota ya mwenzie!! Hiyo ni type ya siasa za chadema ambazo EL hazitaki!! Ni siasa za kitoto sana..
Muwe mnashauri chama kiwe na strategy siyo siasa kama ya wanafunzi wa chuo
kuelekeza ni rahisi sana.ungejua kuwa watu wanafutiwa hati zao za mapori kwa kushindwa kuyaendeleza,ungewaonea huruma.Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Naona umezidiwa na upofu wa Uchadema,kwako wewe hakuna jema lifanywalo na serikali au raisi wetu lakini baado unaenjoy mema yafanywayo na serikali na raisi huyohuyo .Mnajifanya nyie''ndio mnajua kila kitu'' wakati hakuna mnchojua zaidi ya kelele za debe tupu,nadhani umesahau kwamba jamaa yenu alikuwa anashinda makanisani na misikitini akipiga ''siasa'' lakini kwa kuwa kumbukumbu zenu zimetawaliwa na Uchadema basi mnajifanya wasahaulifu,na ndio maana kamwe hamtaweza kutawala nchi hii kwa unafiki wenu.Mungu hawapendi wanafiki.
Haya Makubwa sasa, yaani unatamani uwe Lowassa ? Sasa ukisha kuwa Lowasa yeye awe nani??? Au Lowassa nae awe Lipumba.Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo: