Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,735
- 165,183
Sometimes it is better to keep silence at the amidst of fools!! Magu siyo saizi ya EL kwa busara na Hekima na wala si hekima kubishana au kupangua upumbavu wakati mwingine watanzania watachambua wenyewe.Baada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Dah huyu Low mdokozi.Sometimes it is better to keep silence at the amidst of fools!! Magu siyo saizi ya EL kwa busara na Hekima na wala si hekima kubishana au kupangua upumbavu wakati mwingine watanzania watachambua wenyewe.
ndo maana hukua lowassaBaada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Hata mi naunga mkono maono yako ila huyu jamaa na wenzake wapo kwenye kubuy time na sijui km wanampango wa kuchukua nchi maana unaona kabisa kwamba hawako seriousBaada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Duh!!! Hivi ubamchukuliaje EL? Pamoja na mapungufu ya kibinadamu mm namheshimu sana huyu mzeeBaada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Mpiga pushapu na anayeomba kuombewaUnamzungumzia huyu huyu Lowasa alokuwa anaongea maneno yale yale yaani peoples, mamantilie, machinga na boda boda naombeni kura zenu! au Lowasa yupi mkuu?
Huwezi kufananisha raisi na mtu wa kawaida ,ni kawaida ya raisi kuhutubia sehemu yoyote anayoiona inafaa,acha kumdanganya Lowasa na Lowasa hawazi au kufikiri kama unavyofikiri wewe mtu wa mtaani,na wala Lowasa kamwe hatatumia maoni yenu ya kwenye mitandao kwenye harakati zake za kisiasa,so ushauri wenu wa bure ni kama unapoteza tu vifurushi vya intanetiBaada ya Mkuu wa Kaya kutoa hotuba kwenye nyumba takatifu ambayo ni wazi kaitoa kisiasa kwa sababu za kisiasa,na mimi ningetafuta platform bila kuchelewa(ikibi hata kesho) na kuongea yafuatayo/kumkosoa kama ifuatavyo:
"Wadanganyika wenzangu, mjiulize huyu bwana mkubwa alikuwa wapi kuzuia haya yote yasitokee.Huyu mtu muwe nae makini sana amejaa siasa tupu maana hili jambo lilitangazwa na hata sisi tulilisikia ila siku zote alikaa kimya alafu leo anakuja kuliongelea hapa mahala patakatifu ingawa alikuwa na uwezo wa kulizuia mapema ila kaliacha tu makusudi ili aje aliseme leo ili tu muone ni mtetezi wenu"
Mzee EL, kama kweli unataka kutimiza lengo lako, basi ni lazima uwe outspoken kwelikweli na usimuache bwana yule atambe bila wewe mwenyewe kumkosoa maana mwenzako anapiga siasa kila mahali ingawa hana hoja na hoja zake ukizipangua unammaliza kisiasa tena kirahisi sana.
Acha kuwa mkimya wakati una nguvu na unasikilizwa na wengi.
Huyo rais anayepeleka majungu mazabauni , atajibiwa mazabauni .Huwezi kufananisha raisi na mtu wa kawaida ,ni kawaida ya raisi kuhutubia sehemu yoyote anayoiona inafaa,acha kumdanganya Lowasa na Lowasa hawazi au kufikiri kama unavyofikiri wewe mtu wa mtaani,na wala Lowasa kamwe hatatumia maoni yenu ya kwenye mitandao kwenye harakati zake za kisiasa,so ushauri wenu wa bure ni kama unapoteza tu vifurushi vya intaneti