Ningekuwa Mbwana Samatta ningekataa kuichezea Taifa Stars

Taifa stars hata kama itafundishwa na gadiola,,hamna kitu,,,,, Sijui tumerogwa na nani (in MAGUFURI voice
 
George Weah alikuwa mchezaji bora wa Ulaya na Dunia hakuacha kuichezea Liberia eti kwa kuwa wenzake wana viwango vidogo,sembuse Samata.
 
Hawezi acha kuchezea taifa star maana inampa credit kimataifa, tatizo ni ule Mzigo wa uchafu pale TFF, kocha hafai, viongozi wote hovyo kabisa
 
Back
Top Bottom