Ningekua mwanaume ningeringa

Betason

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2015
Posts
389
Reaction score
712
salaam wana MMU..

Ni mara ya tatu sasa nasikia hii kauli kutoka kwa mpenzi wangu, nimeitafakari sana na kujua kumbe kweli kuzaliwa mwanaume ni jambo la kujivunia..

Hata ktk maisha yetu ya kawaida huwa mara nyingi tunasikia wanawake wakisema "ningekua mwanaume...." ila huwezi kusikia mwanaume akisema "ningekua mwanamke" hii inaonesha ni jinsi gani kuzaliwa mwanaume ni fahari

Alisema nanukuu "ningekua mwanaume ningeringa sana, kwanza mpo wachache sana kuliko sisi, yan me nikiona mwanaume analia lia kisa mwanamke kamzingua nashangaa sanaa"

Wanaume tujifunze kuringa na sisi inapobidi, ila kwa step..[emoji56]

nawasilisha!
 
Inasikitisha sana...
Bilashaka kuna tatizo mahali, hasa kwenye msingi wa malezi ama makuzi hata kupelekea mwali kutamani angekua na mjegejo..[emoji23][emoji23]
 
F
Inasikitisha sana...
Bilashaka kuna tatizo mahali, hasa kwenye msingi wa malezi ama makuzi hata kupelekea mwali kutamani angekua na mjegejo..[emoji23][emoji23]
Fact
 
Wanawake wengi siku hizi wanakosa uume tu kukamilisha jinsia sababu kimatendo ni wanaume watupu, hii ni kutokana na fact kwamba wanaume wengi ni wanaume sababu wana uume na si kimatendo.
 
Angeringa endapo ana pesa vinginevyo tuma na yakutolea ingemtoa nishai angeishia kupiga mugalala tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Angeringa endapo ana pesa vinginevyo tuma na yakutolea ingemtoa nishai angeishia kupiga mugalala tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mkuu tatizo wanaume wa kutuma na ya kutolea wamebaki wa kuhesabu, wengi wanalialia njaa na wengine wanadanga. Wale wa "Mkuu una buku hapo? Nina ubao kinoma" mwanaume ameoa ila amefikia hatua anakula msosi hajui hela ya kupikwa huo msosi ilipotoka na hajali.
 
Jipe muda, utaelewa nini alimaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…