Nlikutana na huyu mmama kwenye biashara zangu akiwa ni mke wa mtu tunaishi nae wilaya moja hapa mjini, akaanza kunizoea na text za hapa na pale mara anitanie wifi anafaidi nikajua lengo lake nikamkaushia coz mumewe ni maarufu na mafia kiasi na mumewe ni miongoni mwa watu wenye pesa kiasi.
Siku moja tukaonan mjini yupo kwenye gari yake peke yke akanipa lifti kurudi nyumbn ndo stor zikaanza akaanza kunichombeza wew mtoto mbona unaringa sana mkeo anakup nn ambacho sisi wakubwa hatuna tukapiga stor mpk akanishusha kwang yey akaend zake.
From there tukaanza kulana kwa Siri saana coz nilimwambia mumeo akijua na jina lake alilo nalo hapa mjini mawili niuawe au nifanywe kitu kibaya shida staki, mama akakolea penzini akaanza kunipa Siri zake za ndani ndoa hizi ni ngumu jaman nikamuahud hatakaa ajue mtu yeyote haya mambo kweli lkn akawa ananikera alikua anapenda kufanywa saaana yaaan saaan cjawah ona mwanamke kama yule, nilijikuta nimekua mtumwa wa ngono nijaon nitahatarusha ndoa yangu.
Siku moja usiku akagombana na mumewe ugomvi mkubwa ila chanzo sio Mimi coz hata wakat naanzana nae walikua wakigomban katik ugomvi wao mwanaume akampiga saaana mwanamke, mwanaume akamfungia mwanamke ndani.
Hapo mwanamke akapata chance kumbe wanaweka pesa ndani mwanaume ni wale wafanyabiashara wasiokua na elimu cjui km hata darasa la saba kamaliza vizur, mwanamke akavunja mlango akachomok na kutoroka ndani akachukua shiling milion 30 za kitanzania akaondok akachukua lodge.
Asubuhi na mapema akanipigia cm nimfate lodge aliko sio mbali saana na tunapoishi akanambia nafanya muamala uje mara ikaingia laki tatu akanambia nitengeneze mazingir nyumbn km nasafr, kweli nikamwambia wife kuna kazi naenda fanya sehemu nikaacha nyumbn laki mbili wife hana noma anajua nasafrig i kikazi so nimeacha pesa anajua naenda kazini kweli.
Nikafik alipo kufik ndo mwanamke akanionesha ule mzigo wa pesa akanambia cha kwanza anatak kupata sehem apumzike nje ya jiji, cha kwanza nikamwambia azime simu akazima Mimi nae hao mpaka tanga.
Tukatafut hotel nzur tukalal siku mbili nikamuuliza hii pesa yote unatak kufanyia nini akaanza oooh Mimi natak kununua kiwanja nijenge nikamuuliza huoni km utamtia loss kubwa mumeo una watoto wanasom tena shule nzuri huoni kwamba jamaa atakwama na watot watashindwa kusoma nakushaur rudisha pesa kwa mumeo na rudi kwenye ndoa yako.
Tukabushana saana akasema atarudisha 20 kumi atanunua bajaji atoe mkata apat pesa ya kutumia nikamwambia sawa tukakubalian, lakin atarudije kwa mume ikabid tutafte waganga yapigwe manyanga hii dunia ina kufuru jamani.
Ikabidi mwanamke arudi kwa wazazi wake jamaa akamfata na kuomba msamaha mwanamke akasem amechukua kweli 30 lkn alipo ana 20 mambo yakazungumzwa mwanamke akarudi kwake.
Baada ya hyo yote nikamwona mwanamke anachange kumbe amepata mjinga mjinga mwingine hana kazi kazi yake ni kumkaza tu huyu mwanamama nlivogundua nikajivua nikaachana nae kwa heshima tu maisha yakasonga.