Ninayo 6.5m nahitaji Gari aina ya Noah

Ninayo 6.5m nahitaji Gari aina ya Noah

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,572
Nina hicho kiasi nilichotaja hapo juu nahitaji Noah ya cheses iwe katika hali nzuri.
 
Kwahiyo bei.na.hizidollaa.za.sasa utapata safina.wallahi
 
Nimepata nashukuru wakuu kwa 7m ipo poa kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom