Ninayaheshimu mapenzi

Ninayaheshimu mapenzi

Ishebo

Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
78
Reaction score
18
Mapenzi, Mapenzi, Mapenzi. Kama kungekuwepo na chuo kinatoa shahada na kanuni halisi za mapenzi basi vijana wote ingekuwa MANDATORY kupata hiyo shahada. Mimi ni 'ME' wa 27yrs. Nilimbikiri binti 1, nikaenda 5&6, nikarudi nyumbani 2013 nikiwa 3yr, binti by then tayari kamaliza DIPLOMA, tayari wamejitokeza wachumba 3 na 1 binti kamkubali na kwenye simu kamsevu my husband.

Nikiwa 5&6 nilipiga punyeto kwan BOYS ndo kauli mbiu advance, Chuoni napo punyeto ikawa sehemu ya maisha. Nikiwa chuo mawasiliano yalikuwepo japo si EFFECTIVELY, kimsingi ameshanisaliti. Lakini aliponiona mwaka jana akasema amebadilisha mtazamo anataka kuolewa na mimi, nikawa nimekula tena mzigo kujikumbushia 2008.

Sasa nshapata kazi toka mwaka jana nikamuhakikishia nawajibika vile nilimbikiri, nikamwambia nitamuoa NIKAMUHAKIKISHIA. Pasaka hii nikamualika kutoka alipoajiliwa aje kwangu DSM kutoka mwanza, eeeh! nimeshiba watoto wa kike, tuwafanyie nini? labda mtutoe roho. NINAHESHIMU MAPENZI
 
Mtu akikusaliti usije ukaamini atabadilika hizo ni kauli za kukuweka kituo baada ya kuyumba akikaa sawa humpati tena...pole
 
Dah!!
nilidhan ni waalimu tu tuna kazi kumbe hata malekchara wana kazi sana kuelewa wanavyuo.

hongera sana kwan umejiongeza kwan ukisimama utakuwa umepiga hatua na hutodondoka ulipodoka tena
 
naona mparaganyo wa lugha tuuuuuuu,au sijui ndio utuuzima tena..............
 
Sasa wa nn tena mtu Kama huyo au hadi akuue Stuka kijana
 
We nipo mwanza Nipe no zake nikusaidie matatizo ,me nipo Kilimahewa.
 
Mwalimu wako wa mwandiko alikufa kabla hujamaliza kozi? Mbona mwandiko mbaya hivi?
 
May Day bila hela mfukoni ni sawa na kula bangi ukiwa na Njaa kali
 
niliamka asubuhi nikavaa nguo, nikaoga, nikavaa viatu halafu nikavaa zangu soksi nikaenda shule
 
Back
Top Bottom