Ninawezaje kutumia internet nokia n95

Ninawezaje kutumia internet nokia n95

KASSON

Senior Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
194
Reaction score
19
Nimenunua Nokia N95,Lakini kila nikijaribu kuingia kwenye internet haikubali?
 
Hapana nijulishe namna ya kutuma,nina line za voda na airtel
 
Kwa kuwa una access ya mtandao fungua website ya voda, nenda kwenye sehemu ya kuactivate internet nayo itakuongoza hatua kwa hatua.
 
Kwa kuwa una access ya mtandao fungua website ya voda, nenda kwenye sehemu ya kuactivate internet nayo itakuongoza hatua kwa hatua.

sawa kabisa fungua website ya vodacom alafu utafanya activation ambapo utaingiza number ya simu na utapopoa settings, save na mpangilio huo huo unaweza kutumia kwa mitandao mingine bila matatizo
 
sawa kabisa fungua website ya vodacom alafu utafanya activation ambapo utaingiza number ya simu na utapopoa settings, save na mpangilio huo huo unaweza kutumia kwa mitandao mingine bila matatizo

ngoja nijaribu
 
Nimejaribu kwa kutumia hii nokia N95 lakini nilienda kwenye internet service inaniandikia conection fail,lakini nikitumia hizi line kwenye cm nyingine zinakubali internet
 
Hapana nijulishe namna ya kutuma,nina line za voda na airtel

VODA:
andika wap nokia n95. Tuma kwenda 15300.
AIRTEL:
andika wap nokia n95 tuma kwenda 232.

Utapokea sms. Fuata maelekezo. You are done!
 
Je Nokia yako N95 ni yenyewe au imetengenezwa na Mao Ze Dong?
 
Andika WAP NOKIA 8 DIGITS FROM IMEI NUMBER (eg 35627632) Na utume kwenda 15300.
Utaletewa settings, watakupa password 1234 uijaze.
 
Jaribu kuEdit mwenye hizo configuration settings, access point andika 'internet' account name 'vodacom wap', priority normal, homepage 'www.vodacom.co.tz' save kama default,,badilisha na settings kwenye web application ya simu,,
 
Nawashauri nyie wote wenye matatizo ya Internet maana inaonekana kama ni zaidi ya mtu mmoja, kwenda Mlimani City. Pale mtapata msaada maana voda wapo na Airtel pia wapo. Msiendelee kupata taabu kama yote mliyoshauriwa hayakufanya kazi.
 
Back
Top Bottom