Ninawasiwasi na mke wangu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Katika ndoa kuaminiana ndo nguzo kubwa ambalo linaleta mafanikio

Ila katika ulimwengu wetu huu tunasema kumuamni mwanamke ni kupoteza mda na mimi apo ndipo nimesimamia mimi ni kijana nimeoa kwasasa nina miaka 3 kwenye ndoa yangu na mke wangu

Lakini kuna mambo fulani ambayo sielewi kwa mke wangu

Ni mtu ambaye nimechunguza kwa kina sana nimeoana hana huwezo wowote wa kukataa mwanaume yeyote mwenye uwezo kutokana na tabia yake ya aibu ni mtu mwenye umri wa miaka 27 lakini anatabia fulani za aibu aibu mbele ya watu ambao hawajui kitu icho kinanipa wasiwasi juu yake
 
Give her money. Akiendelea na hiyo tabia, give her more money.
 
Tabia yake ya aibu inahusikaje na kutongozwa na kuwakubali wanaume wenye uwezo sijaelewa hapo? Mwanamke kua na aibu sio jambo baya Wala la kihuni
 
Duuh
 

Wote ndo hivyo hivyo, ufundishe moyo wako kutomtegemea na mwone kama mtoto, ndoa yako ni changa, una safari ndefu na ngumu sana,

Una watoto wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ