Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Let it be. Anyway you are sick you are dying, not so bad loosing one member who doesn't want to go to hospital.This is so Mean
Pole Mkuu kwa kuumwa na hayo maradhi yako tumia hii njia inaweza kukusaidia ukaweza kupona maradhi yako fuata ushauri wa video lakini hiyo dawa uwe unakunywa kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kwa muda wasiku 3 au siku 5 au siku 7 kama ni ugonjwa wako ni mkubwa utapona na pia uwe unakunywa maji mengi kwa siku kunywa maji ya uvuguvugu glasi 12.Sijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Kazi kweli kweli..
Nenda mochwariSijui Kama ndio dalili zenyewe ila nakohoa hasa usiku tu na nikihema koromeo linapiga mluzi ninamafua .
Naogopa kwenda hospital kwakuhofia aidha kugundulika na covid 19 au kunyanyapaliwa .
Naomba ushauri naomba mniombee.
Uliendelea kulala na wife!! Au bado huna jiko?Hamna ni hali ya hewa tu kama upo Dar..maana mimi siku tatu zile za sikukuu ijumaa mpaka j3 nilikua hoi kimtindo full kukohoa, kichwa, mafua!! nilipiga dawa si mchezo..sahizi nimepona!!
Nimeona wengi wanaumwa Cold & flu
😀 nipo alone kwa sasa!!
Nakunywa dawa inaitwa co-amoxiclav imenipa nafuu sanaTB hiyo ukiona unahema kama unasikia mluzi nenda kachek afya Mkuu kituo cha afya
Sent using Jamii Forums mobile app