fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,689
- 9,288
- Thread starter
-
- #41
ha ha ha sasa kipato changu ni kidogo,hivyo nazima taa za uneme wa tanesco nawasha za sola,kuna ubaya?Acha kuteseka, tafuta hela. Badala ya kutafuta hela unapambana kuzima taa kwenye nyumba.
Sawa,ukitaka ushauri njoo uniulizeSIsi tumepunguza baadhi ya vitu, ndiyo tunanunua 70k kwa mwezi. Nitajaribu hiyo solar kwenye kitu kingine.
Huyu jamaa limbukeni mambo ya umeme ya nyumbani kwake na makorokovo cooker analeta hapa jukwaani ..siku akinyimwa papuchi atafunguka km kawaida yake .. kweli kuna watu humu chaneli chenga.Kama umesitaafu na unaandika namba hii... bila shaka wewe ulikuwa polis. Siwezi kuamini kama kuna msitaafu wa kada nyingine mwenye ujasiri wa kuandika hivyo kwenye sehemu kama hii
Hiki ni kiwanda kidogo hamjafungiwa transfoma chocheo hapo nyumbani kwako?Sasa kwa hatua zote hizo kwa mwezi nalipa umeme wa 60,000
Punguza hasira kajiongelea yeye na jinsi anabana matumizi hajakuongelea wewe na familia yako aiseeHuyu jamaa limbukeni mambo ya umeme ya nyumbani kwake na makorokovo cooker analeta hapa jukwaani ..siku akinyimwa papuchi atafunguka km kawaida yake .. kweli kuna watu humu chaneli chenga.
Na pia siyo mwandiko wa lecturer.Mbona huu mwandiko sio wa ki ustaafu kabisa
Umeshapiga hesabu, gharama unazotumia upande mwingine ni shilingi ngapi? Maana hapa naona picha unayoijenga ni kwamba umesevu 120,000 - 60,000 = 60,000/-. Jaribu kupiga hesabu ya unayoyafanya kama mbadala wa kutumia umeme huko nako unatumia shilingi ngapi. Isije ukawa huko kwenye mbadala unatumia zaidi ya 60,000/-kabla ya hapo ilikuwa nalipa 120,000
Pia jaribu kutumia gesi pekee kwenye kupikia na usitumie umeme kabisa isipokuwa kwenye mambo mengine kama friji, pasi na taa. Halafu uone gharama zinakuwa ndogo kiasi gani.Sawa naupokea ushauri
Sasa unataka TANESCO wapate wapi hela.ha ha ha sasa kipato changu ni kidogo,hivyo nazima taa za uneme wa tanesco nawasha za sola,kuna ubaya?