S Supervision JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 265 Reaction score 203 Jan 10, 2017 #1 Ndugu habarini na poleni na kazi. Ninauza shamba langu katika wilaya ya mufindi ambalo ekari 10 zimeshapandwa miti.Eneo hilo ni muhimu na maarufu kwa upandaji wa miti.Kwaanayehitaji awasiliane nami kwa: 0714462767
Ndugu habarini na poleni na kazi. Ninauza shamba langu katika wilaya ya mufindi ambalo ekari 10 zimeshapandwa miti.Eneo hilo ni muhimu na maarufu kwa upandaji wa miti.Kwaanayehitaji awasiliane nami kwa: 0714462767
Tarakilishi JF-Expert Member Joined May 19, 2013 Posts 2,180 Reaction score 2,454 Jan 10, 2017 #2 Mufindi ni kubwa sana tana ni maeneo gani. Kata, tarafa au kijiji. Je ifwagi, itona, ifupila, ibwanzi au wapi? Taja na bei kwa ekari..m
Mufindi ni kubwa sana tana ni maeneo gani. Kata, tarafa au kijiji. Je ifwagi, itona, ifupila, ibwanzi au wapi? Taja na bei kwa ekari..m
Jerhy JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 3,135 Reaction score 1,001 Jan 10, 2017 #3 Kuna harufu ya utapeli humu, mtoa tarifa sijui ni kibarua.