Ninauza mchele wa kahawia (brown rice)

Social maniac

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
357
Reaction score
429
Ninauza mchele wa kahawia (brown rice), kwa anaehitaji anaweza nicheck PM tuka-arrange namna ya kukufikishia mzigo.

Kwanini mchele wa kahawia (brown rice)?
- Una madini zaidi ya manganese, magnesium na chuma ukilinganisha na mchele mweupe
- Una punguza uwezekano wa kupata maradhi ya kisukari
- Una Cholesterol kidogo sana ukilinganisha na mchele mweupe
- unapunguza uwezekano wa kupata uzito mkubwa
- Una kiasi kikubwa cha fiber, ambayo inapunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya saratani
- n.k

Ni mchele uliothibitishwa kuwa na virutubisho vingi vya afya kuliko mchele mweupe. Na ni mchele mzuri sana kwa watu wanaosumbuliwa na magonjwa ya kisukari.

Itunze sana afya yako, maana ndio mtaji wako wa kwanza.

Karibu nikuhudumie
Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapatikana wap?
Weka contact zako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…