Ninauza mashine ya juice ya miwa

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Posts
634
Reaction score
1,454
Habari za asubuhi wana jf. Mimi ni mjasiriamali niliekua najihusisha za utengenezaji na uuzaji wa juice ya miwa. Hivi karibuni nimepatwa na matatizo hivyo nimeamua kuuza mashine ya kutengenezea juice ya miwa. Mashine inatumia umeme na nimeitumia takribani miezi 3 tangu nimeinunua.

Kwa yeyote atekae kua ana ihitaji bei ni shilingi 950,000/= naomba tuwasiliane kwa namba hii

0738 369567
 
Mkuu kweli nina shida ila hiyo fedha utakua umenibana sana. Mimi niliinunua 1,500,000/= ninahitaji 950,000/= tu ili nikamalize hilo tatizo
Ulinunua wapi kwa hiyo 1.5mil??
Maana hizi nasikia SIDO wanazo bei nzuri tu, usikute bei yako ya used ndio ya SIDO mpya.
Jaribu kufanya utafiti kwanza
 
Ulinunua wapi kwa hiyo 1.5mil??
Maana hizi nasikia SIDO wanazo bei nzuri tu, usikute bei yako ya used ndio ya SIDO mpya.
Jaribu kufanya utafiti kwanza
ni afadhali kwenda sido kabisa kununua maana hiyo bei na usawa huu wa magu aisee
 
Ulinunua wapi kwa hiyo 1.5mil??
Maana hizi nasikia SIDO wanazo bei nzuri tu, usikute bei yako ya used ndio ya SIDO mpya.
Jaribu kufanya utafiti kwanza
Nenda kaulizie hiyo bei nzuri uje na mrejesho. Nilichokuambia nina uhakika nacho hivyo naomba usinipinge pasipo kua na ushahidi wowote.
 
ni afadhali kwenda sido kabisa kununua maana hiyo bei na usawa huu wa magu aisee
Bei ni standard kabisa hakika kwa mwenye uhitaji atanitafuta. Shukrani kwa kushiriki kutoa mawazo yako.
 
Sema unauza Chuma. Mashine gani unatumia nguvu kama unabeba zege?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…