Ninauza Kuku Wa Kisasa Tegeta

Ninauza Kuku Wa Kisasa Tegeta

mwanajamii00

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
6
Reaction score
11
Habari Wanajamii Forum.

Kama inavyojieleza kwenye kichwa , Ninauza Kuku Wa Kisasa Wenye uzito zaidi ya 1kg, ni wazuri, wazito na tayari kwa nyama. Ninao kuku 500.
Bei ni 5500 Tshs. ., ila kwa mteja anaehitaji zaid ya kuku 200 kwa mara moja naweza kumpunguzia bei kidogo.

(Huduma ya kuchinjiwa pia na kuletewa ipo kwa makubaliano).

Nipo Dar es salaam, Tegeta - Namanga. Kuku unaweza kuja kuwaona / kununua muda wowote, wasiliana nami kwa namba zifuatazo.

Whatsapp/Call 0655164257
0657880456

Pia nimeambatanisha picha za baadhi ya kuku naowafuga bandani.
Asanteni na Karibuni sana.
IMG_20181113_065208.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom