Ninauza eneo Dodoma kwa milioni 2

Good Neighbour

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
942
Reaction score
899
1.Eneo liko nala mwanzoni kabisa karibu na mzani(dodoma mjini)
2.Lina ukubwa wa kama nusu ekari
3.linafaa kwa makazi
4.liko karibu kabisa na hostel za chuo kipya cha biashara na pia si mbali na chuo kilipo
5.umbali toka katikati ya mji ni kama kilomita 12/13
6.Umbali toka barabara kuu ya lami iendayo singida/mwanza/tabora ni kama mita 300/400
7.Njia ni pana na gari inafika mpaka kwenye eneo
8.Halijapimwa bado
9.umeme na maji vipo jirani
10.Hati yake ni ya kijiji
11.mawasiliano 0767833496
 
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji117] [emoji117] [emoji383] [emoji383] [emoji383] [emoji383][emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Pakoo vizuri sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…