Ninauza asali jumla na rejareja

Ninauza asali jumla na rejareja

Hebu tueleweshe kidogo biashara inafanyikaje kwa mnunuzi wa rejareja kwa maana ya terms of payments,maana umesema hupatikani hapa Dar.
 
Me pia nataka tena mbichi,na kama ikiwezekana iliyo na masega yake yaani ambayo imetoka kupakuliwa.Vip nitapata?
Na nipo jirani sn na ulipo.
 
kaka, ungekuwa na wakal Dar es salaam ingesaidia sana! Tafuta mtu unayemjua anyeishi Dar es salaam uumtumie mzigo mtu akilipa achukue papo hapo!
 
TAMUUU...UTAPA MBICHI au raw tunamaanisha iliyo na masega yake utapata mawasiliano ndio muhimu.....mathematics wakala nafana utaratibu ila naona kama atakuwa mbali yuko tegeta ila ntamtumia huyo huyo mwanzo...utapata mzigo wako na kulipia papo hapo...

Je naweza fika tabora eneo la tukio kulangua mzgo mkubwa kidogo? Kwa wastani dumu za lita 20 naweza pata hata 10?
 
ukitaka hata dumu 10 naweza kukuletea ulipo kwa maelewano...Tabora unaweza kufika unaijua asali wewe?

Nikisema kufika eneo la tukio namaanisha kufanya biashara ya mkono kwa mkono make hz za kwenye mitandao huwa siziamini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom