Ninauchukia utumwa mpya

bartaizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
236
Reaction score
91
Ndugu mtanzania mwenzangu,
Wakati Fulani nilifikia ukataa wakusema hakuna utumwa mbaya kama utumwa wa fikra , mfano: "watanzania Bwana ni taifa la ajabu" nilijiuliza kwa nini watu husema hayo nikagundua ni kwakuwa wao ni watumwa wa imani hiyo na wanataka kuona wengine waone kama wao,

Hakika utumwa mkubwa ni kudhani unavyofikiri ndivyo wote mradi watanzania hufikiri kama wewe ni utumwa unaovuka viwango vya utumwa wa kale, najua wengi wanataka kuwajua watanzania wote kwa kumtizama mtanzania mmoja huko ni kutokuwa na elimu mtumwa wa hisia zako mwenyewe ambazo unaziaminisha kuwa watanzania wote huwa dhaifu Katika jambo ambalo wewe ni dhaifu kwalo hakika hakuna utumwa mkuu kama kuwa mtumwa wa fikra, wewe Ndugu yangu uko upande gani!?

KANISA LA KRISTO
 
Hoja mbalimbali dini ingia social intelligence lakini zingatia

KANISA LA KRISTO
 
Unaandika utafikiri umekunywa tindikali,hujiamini?,sasa hapo unaonyesha wewe ni mmoja wa hao watumwa unao waongelea
 
Kwa uandishi huu, si rahisi kueleweka mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…