Vipi wenye viungo vya uzazi vilivyo paralyze unawasaidiaje, hasa wanaume?
Inauzwaje? nije sasa hivi maana babu yangu wa miaka 96 kaletewa kabinti kabichi kabisa kutoka kijijini, na kiungo chake hakionyeshi ushirikianoKuna juisi maalumu ya ujazo wa lita 5 na imetengenezwa kwa mchanganyiko wa; asali, ndimu, chumvi, tangawizi, kitunguu saumu, kitunguu maji na maji. Unakunywa kwa muda wa mwezi 1 na haiharibiki. Nipigie katika hiyo namba niliyoandika juu.
Inauzwaje? nije sasa hivi maana babu yangu wa miaka 96 kaletewa kabinti kabichi kabisa kutoka kijijini, na kiungo chake hakionyeshi ushirikiano
Sijaona gonjwa la tabia hapo mkuu.
labda huyajuwi.
Kweli labda sijui hebu nisaidie kunifafanulia
Magonjwa ya tabia ni Magonjwa ambayo yanatokana na maisha tunayoishi katika vyakula mpaka vinywaji. Nadhani umenielewa hapo sasa na kama bado hujaelewa kuna kitabu kinachoweza kukupa somo hilo vizuri, tuwasiliane.
Vipi wenye viungo vya uzazi vilivyo paralyze unawasaidiaje, hasa wanaume?
nikishaonaga tangazo la kutibu malaria sugu sijui typhoid, pressure, kisukari najua ni uongo mtupu. Angeishia kwenye mambo ya physiotherapy ningekubali lakini kitendo cha kuongeza hayo ya chini nikajua ni wale wale! Dada we ni muongo!
Ulemavu wa watoto, Moyo kuwa mkubwa, Asthma/pumu, typhoid, malaria sugu je haya ni magonjwa ya hiyo definition yako mkuu.
Ubarikiwe, nikisikia ishu nitakushtua