Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,415
- 39,491
Asalaam Aleykyum,
Nina tamani tena nina shauku kubwa kuona thread ya Mrembo huyu (nina uhakika na urembo wake) ikisema:-
"Niulizeni swali lolote nitajibu"
Hii ni kufuatia kujitolea kwa baadhi ya members kuhitaji kuulizwa maswali ya aina yoyote hata yale ya kibinafsi zaidi (Privacy) kama Warumi na Bibie Faiza Foxy wakati flan
Siku ikitokea Evelyn Salt akatoa fursa hiyo (natamani iwe usiku nikiwa kitandani) mimi kama bin'adam moyo, nafsi na mwili wangu vitakuwa katika hali mujarab... Inshallah !
Hivi Mods hamuwezi kusikia na kujali ombi na kilio changu mimi Azarel?
Wabillah Tawfiq