Mkuu
Njia za kutoka kimaisha ziko nyingi ILA YENYE UHAKIKA KUSHINDA ZOTE NI ELIMU YA JUU-CHUO. Ukiweza kusoma ukapata ka advance diploma au degree yaani hilo ni daraja la uhakika la kuondoka kutoka kwa wasio nacho kwenda kwa walionacho. WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WALIOSOMA