W wakujua Member Joined Nov 27, 2015 Posts 8 Reaction score 0 Dec 13, 2015 #1 Habari zenu wana jf, mimi naishi dar nataka kufanya biashara ya kuuza simu kariakoo naomba mwenye uzoefu anijuze faida na hasara ya biashara hii na nnaweza anza na mtaji wa shingapi!
Habari zenu wana jf, mimi naishi dar nataka kufanya biashara ya kuuza simu kariakoo naomba mwenye uzoefu anijuze faida na hasara ya biashara hii na nnaweza anza na mtaji wa shingapi!