Kwasababu mwanamke ndie anavunja mahusiano kiuhalisia. Hatusemi wanawake wote huwa wanastahili kulaumiwa ila 99% lawama lazima zije kwa mwanamke sababu ndie kisababishi cha migogoro mingi ya mahusiano kwasababu ya namna mnachukulia mahusiano na wanaume plus tabia za kufanya maamuzi kwa kutumia msukumo wa hisia badala ya akili au logic.Ndugu kuoana ni process ambayo huanzi tu ukajikuta kanisani.
Hapo katikati kuna kusomana na kuangalia kipi kinabebeka na kipi hakibebeki.
Alafu mbona watu wanapoachana lawama zote au mabaya yote anatupiwa m wa mwanamke? Kwani hakuna wanaume wenye tabia zisizofaa na Hivyo kuharibu ndoa?
Huwa sijibu negative comments lakini kiroho safi nimejikuta nakuelewesha.
Unajua hata CCM wanapowasikia CHADEMA wanatoa hoja za msingi za kujenga na za kimaendeleo huwa wanachukulia negative.Hivi wanaume humu wengi wenu ni maisha magumu au ni stress!! Mko very bitter, ni negativity in allmost everything [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
😂😂😂😂 watu tunawaza PhD tunaipatia wapi asubuhi hii twendeApia? Na bado uko singo
Teh!
Ni kweli.Tuangalie namna tunawalea hawa watoto wetu wa kiume. Shida iko kubwa.
Unajipa taabu tu kuwajibu, ungewapuuza.Ni kweli.
Nakuunga mkono,kinachowaponza wanawake wengi ni kusikiliza ushauri kwa wanawake wenzao ambao tayari ndoa zao ukifuatilia utakuta zimesha fail,haya wanayapata sana kwenye ma salon,vikoba na kwenye mikusanyiko ya kutetea haki zao,humo 90% ya wanawake wanajionyesha wao ni wanawake wanaowaburuza wanaume katika nyumba zao na hawako tayari kuwa chini ya wanaume....Kwasababu mwanamke ndie anavunja mahusiano kiuhalisia. Hatusemi wanawake wote huwa wanastahili kulaumiwa ila 99% lawama lazima zije kwa mwanamke sababu ndie kisababishi cha migogoro mingi ya mahusiano kwasababu ya namna mnachukulia mahusiano na wanaume plus tabia za kufanya maamuzi kwa kutumia msukumo wa hisia badala ya akili au logic.
Fuatilia mahusiano mengi yanapositishwa ni mara chache sana ukute mwanaume ndie anayetaka yaishe mara nyingi ni wanawake sababu ya insecurities na discomforts zao.
Na shida inaanza na eneo la accountability kitu ambacho wanawake wa kileo hamna hata kidogo. Tukianza kuelezea hapa kwann wanawake ndio wa kulaumiwa utaona mnavyojitetea kwa kukubali makosa kisha kusema mlisababishiwa.
So let's be clear and honest katika hilo eneo.
MapendoooSina degree wala master nina cheti ch Tycs tu, sijui naweza kukufaa. And I bet you won't be disappointed with me😉
Basi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga alani mwake;😂😂😂😂Sasa kiherehere cha kujieleza na huna mpango huo unakitoa wapi?
Ni kama vile uko in denial, are you?
Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.Sasa ungetumegea kipande cha history ya mgogoro ili wataalamu wa miundombinu ya ndoa tufahamu shida ipo wapi na tuweze kushauri vema.
Wewe umeweka vigezo tu hapa vya mwanaume unayemtaka lakini fahamu jambo moja kwamba ulimwengu hautakupa unachotaka bali unachostahili.
Kustahili kwako ni matokeo ya tabia na mwenendo wako. Ukiwa mkimya ulimwengu utakupatia atakaependa ukmya wako, ukiwa unachonga ngenga utaletewa ambaye anapenda kelele na atadeal na wewe kwa namna ulivyo, ukiwa unajali na mpenda haki utaletea copy yako ya anayejali na mpenda haki version ya kiume.
Shida ni kuwa wanawake huwa hampendi kuona mabaya yenu kwanza ili muweze kujitambua mnaoperate vipi kwenye mahusiano.
Ukiona kupata mwanaume inakuwa ngumu jiulize mara mbili mbili kuwa shida ipo wapi kwann uwe mwanamke mzuri ushindwe vuta mwanaume mzuri uvutie wa hovyo tu?
So baada ya kusema hayo nakushauri utuonyeshe ushirikiano kwa kutupatia story au kipande kifupi sana cha experience ambayo umepitia kwa mwanaume uliyepata nae watoto wawili kisha ghafla umuache, nini kilitokea ewe mwali?
Wanawake wababe enzi za Mwinyi walikuwa wanaitwa Wabeijing!Kwa hili jibu unaonekana una gubu sana. Yaan unasifia umeacha sio kuachwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui nijilipueee
Hii inatofauti gani na interview?Akupe story kama nani kwani una vigezo anavyotaka.
Mtu kaja kutafuta mwenza wewe unaandika magazeti kibao unacommand akwambie walivyoachana na unatoa mawaidha.
Ungekuwa a real man ungeenda PM ukapata mawasiliano na hayo unayotaka ungejua mbele ya safari. Hii sio interview ya kazi.
Nyie ndo mnabaka watoto mitaani.MSIMAMO NI ULE ULE NDG ZANGU
KATAA NDOA
TUNZA KIBUNDA
DUMISHA FURAHA NA AMANI YA MOYO YA KWELI
Wewe hujiulizi why wameachana? Ndoa ni zile zile mahusiano ni yale yale... Hakuna kipya kama wamekosana, wametengana wakae chini wayajenge
Kataa ndoa, epuka matatizo mf. Ugonjwa wa Moyo...
Ni yeye mwenyewe anajigeuza mara 2 mara kwanza anasema mdogo wake mara ya pili yeye amejitokeza kutaka mume. Anawafiligiza huyo.- Tumshauri: Mwanaume kamkimbia baada ya kupata ujauzito
Hapa ulikua wewe mwenyewe au mdogo wako kweli?
Kama ni mdogo wako kwanini mnakimbiwa sana na Wanaume? Una hakika gani huyu unayemtafuta sasa mtadumu kama dada mtu, mdogo mtu nk wanaaachwa! Umejaribu kufanya utafiti mdogo ukajua tatizo liko wapi
Bora nibake kimya kimya mzee...Nyie ndo mnabaka watoto mitaani.