Apia? Na bado uko singoMwili wa kawaida wenye mvuto kimapenzi
Stick to the topic on board! Spare that story for another day....Hapa ulikua wewe mwenyewe au mdogo wako kweli?Tumshauri: Mwanaume kamkimbia baada ya kupata ujauzito
Mdogo wangu mtoto wa aunt amekuja kwangu leo asubuhi akilalamika Kwamba mwanaume aliyekuwa anampenda ghafla amekata Kamba baada ya yeye kuwa mjamzito. Anadai mwanaume hataki hata kumuona japo hajakataa mimba. Hata a mwambie anaumwa hawezi kuja kumuona lakini yupo mji huo huo. Anadai amelia...www.jamiiforums.com
Kama ni mdogo wako kwanini mnakimbiwa sana na Wanaume? Una hakika gani huyu unayemtafuta sasa mtadumu kama dada mtu, mdogo mtu nk wanaaachwa! Umejaribu kufanya utafiti mdogo ukajua tatizo liko wapi
Women attacking womenApia? Na bado uko singo
Teh!
Namjua huyo anaitwa Iddi Saidi suleiman sasa hayo majina nadhani unayaelewa kwenye nyimbo ,usisahau kutupa feedback mkuu...Sijui nijilipueee
Ninatafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo;
Awe mtu mzima ambaye yuko single kwa sababu za kufiwa na mke, au talaka ya kawaida. Ila ambaye yuko katika umri wa utu uzima Ila hajawahi kuoa hapana.
Awe na watoto... Ila ni vizuri wakiwa wa mama mmoja. Sio watoto 5 kila mtoto na mama yake.
Awe na akili ya maendeleo na kuboresha maisha.
Urefu wowote
Rangi yoyote
Elimu ya degree masters au PhD itapendeza zaidi.
Awe mkristo (akiwa msabato au mlokole ni vizuri zaidi).
Awe na chanzo cha mapato kinachoeleweka (mfano ajira binafsi au kuajiriwa).
Awe tayari kushirikiana au kunisaidia mawazo ya namba gani ya kuboresha kile njnachofanya au hata mawazo mapya ya kujenga.
Awe father material na mkarimu.
Ninaomba walio serious tu ndio waje PM. Pls pls usije PM kama hauko serious.
Asanteni waungwana.
Acha uchokozi weweApia? Na bado uko singo
Teh!
Unataka ukam mixie moyo wake na scratch za kutoshaa?? We Tu Uplodie tu manyimbo tuburudike. Wacha Mioyo ya wamamaSijui nijilipueee
Hayo mambo ungekuwa nayo kweli usingeendelea kukataa ndoa.Aiseee ningekusitiri dada sema ndo hvo mm ni pro KATAA NDOA ningekuonesha mambo makuu usiyoyajua
Nimejiskia Amani kusikia haya kutoka kwa mwanamke mwenzangu.Unaonekana kuwa honest, nakutakia kheri katika machaguo umpate mume mwema mwaya.
Kila mwanamke anastahili furaha itokanayo na familia yenye upendo.
Mungu akuongoze, na ukimpata mpende kwa dhati na kumheshimu.