Ninatafuta kazi

Subiri ajira za serikali mkuu kwenye halmashauri kuna uhaba mkubwa tu
 
Hakuna ajira serikalini kwa sasa..serikali ilichokifanya ni kupunguza wafanyakazi..kwa mgongo wa watumishi hewa na vyeti feki..na haina mpango wa kuajiri..labda 2020 watajiri kisiasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom