tecnohailali
Senior Member
- May 15, 2017
- 168
- 76
Ngoja niitafute mkuuInaitwa koza ni ya Defao na King Blaise wa Fm academia kama sikosei
Salam wakuu.[emoji26] Nimeitafuta mitandao yote duniani nimeikosa. Kuna Dada tulikua wote Johannesburg alikua nayo ila nikashindwa kumuomba. Maana tulikua kwenye msiba wa mama yake. Nikaona itakua sibusara kwapale kumuambia mana alikua na mawazo ya msiba.
Nyimbo yenyewe jina siijui ila inaimbwa hivi.
Posa wangu baba Unihurumie wema wangu Leo nitajulisha Kama niwatoto fika kwetu posa utawaona utawaona. Usifike kwangu utaleta fujo nampenzi wangu wasasa. Tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu tena nakuteswa juu uniurumieeee.
The Rich Man.
Kweli mkuuInaitwa koza ni ya Defao na King Blaise wa Fm academia kama sikosei
Ahsante kwa kuweka sawa kumbukumbu zanguKweli mkuu
Noted mkuuAhsante kwa kuweka sawa kumbukumbu zangu
Salam wakuu.[emoji26] Nimeitafuta mitandao yote duniani nimeikosa. Kuna Dada tulikua wote Johannesburg alikua nayo ila nikashindwa kumuomba. Maana tulikua kwenye msiba wa mama yake. Nikaona itakua sibusara kwapale kumuambia mana alikua na mawazo ya msiba.
Nyimbo yenyewe jina siijui ila inaimbwa hivi.
Posa wangu baba Unihurumie wema wangu Leo nitajulisha Kama niwatoto fika kwetu posa utawaona utawaona. Usifike kwangu utaleta fujo nampenzi wangu wasasa. Tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu tena nakuteswa juu uniurumieeee.
The Rich Man.
Hyo nyimbo hata ipigwe leo utaipenda.old is goldInaitwa koza ni ya Defao na King Blaise wa Fm academia kama sikosei
Mkuu mtandao ukiwa sawa naomba iweke hapaHiyo ninayo mkuu, ni ya defao sehemu nilipo mtandao si mzuri ningeattach
Asante mkuuKweli mkuu
Mkuu nimeidownload ila inakuja suke chileDownload mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante sana mkuu nashukuru sanaHuo ni Mziki wa Defao akimshirikisha Suke chile Joel, kijana wa Lubumbashi Kibao kitaitwa KOLZA
OkeyAsante mkuu
Mkuu nimezaliwa ambapo kiswahili kimezaliwa.Kiswahili kina kusumbua sana! Ulitakiwa useme "HUU WIMBO" neno nyimbo lipo katika wingi mfano "HIZI NYIMBO"