Bongo.Com
Member
- May 17, 2015
- 52
- 20
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Nina tatizo moja linalonisumbua kwa muda mrefu.
Tatizo lenyewe ni hili;
Ninapokuwa na mwenza wangu au wale wa kupita maeneo ya kitandani Mawazo na hisia zangu huwa zinapotea kabisaaa na hivyo kusababisha 'askari jeshi' wangu kubaki akiwa amelala na kujikuta vita vinamshinda. Na hata nikijaribu kuvuta hisia wapiii mambo yanagonga ukuta bila mafanikio.
Ila cha kushangaza, nikiwa mwenyewe nikianza kufikiria hisia zinakuja na askari husimama hali ya kuwa adui ameshaondoka.. Kiukweli ni aibu tena aibu.
Jamani naombeni ushauri wenu nini cha kufanya!? Najua tuna madokta humu ndani na wasio madokta lakin wenye mawazo yenye tija..
Please mawazo ni bora. Si jambo la ajabu kwa kuwa hili ni tatizo lililopo katika kizazi cha karne hii. Tukumbuke kuwa "Kabla hujafa Hujaumbika". Leo kwangu kesho kwako..
Nasubir mchango wenu, nawapenda wote.
Asanteni wanaJF..