Ninapata wakati mgumu na X's, nipeni msaada

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,012
5,452
Wasalaam,

Iko ivi mi ni kijana kati ya 30 to 35yrs old,
Nimekua kwenye mahusiano mbali mbali kwa wanawake wasio pungua 13...

Nikijana ambaye bado najitafuta, kuhonga siwezi ila matumizi ya pamoja hayanishindi

Kwasasa ninamahusiano na demu ambaye nnaweza jumuoa akitulia lakini...

Shida inakuja ni usumbufu kutoka kwa ma X zangu, wamekua wakinisumbua saana wakitaka turudiane ama tuwe tunapasha viporo, najaribu kuwa weka wazi kwamba nini mtu lakini bado haisaaidii yaani kila anayegeuka X hua hakubali ku move on...

Sababu kuubwa zinazo nifanya niachane nao ni mkwanja (pesa) maana sina hela yakuwanunulia ata pafyumu hivo huamua kunichanganya na wanaowahonga na kisha nawapiga chini mazima...

Nina huruma saana hasa wakinijia kiupole kuna wakati hua natamani kuwapa wanachotaka lakini nikiwaza kurudia matapishi ni bora nianze upyaaa

Mnisaidie sasa nifanyeje ili waache kunisumbua au ni kitu gani hutokea kwa mwanamke pale anapoamua kurudi kwa X wake baada ya kuhangaika huko bili kujali kama mwanaume ako tayari na mtu mwingine?

#Thamani ya mtu ni utu na si kituπŸ’ž
 
Badili mtindo wako wa Maisha na Mahusiano.

Utafika Muda vichicheo vya mwili vitapungua na kupoa, jitahidi iwe hivyo ukiwa umetulia kwako na mmoja....

vinginevyo utayakaribisha majutro huko mbeleni...
 
Mademu 13 tu unafungua Uzi?


Hao Mimi Huwa wa Kila mwaka.


Watu tulishapika mwendokadi tatu za mbagala wanaojiuza, Kosta mbili za mkoani wa kutongoza, Noah mbili michepuko ya kudumu na taxi πŸš–πŸš• wakufa na kuzikana hata wanapiolewa tunaluendeleza na kuwatua mimba, na mke mmoja Kwa ajiri ya sakramenti na kulea watoto.
 
Nafirijika kuona una above 34 years age na hujaoa bado πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Maana najiona kumbe sijachelewa sana bado kama umri huo kuna wenzangu hawajaoa bado.

Mimi nna 29 years na nishaanza kunyoshewa kidole na ndugu mpaka sasa napata stress hadi sometimes sipokei simu za baafhi ya ndugu 😁😁😁

Ila uzi wako kwenye umri umenifariji kidogo .
 
Mke kwaa ajili sakramenti....
 
Brother nilioa at 24yrs kilichonikuta naenda mwaka wa nne naishi kama sijawahi kuoa, so usifanye haraka mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…