Ninaomba notes za PCM kwa ajili ya Advanced level

Roby Love

Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
6
Reaction score
3
Habari jamani,.samahanini ninaomba kwa mwenye notes za physics,chemistry na mathematics anitumie ili nipate kujisomea maana hali ngumu alafu sina hata chanzo cha kupata maarifa ivyo naomba mwenye izo notes anipatie au kama unajua sehem ama mtandao ntakaoweza kupata tafadhali mnielekeze.Asanteni
 
Google kama una access ya computer, kuna kila kitu!
 
KWA nyongeza download tHL app, aidha tembelea maktaba ya mkoa wowote uombe mtaala wa advance kwa tahasusi yako. pia tumia GOOGLEBOOK kusome online. ila pia unaweza kutumia LIBRARY OF GENESIS na pia kama unataka kuwa competent na mvumbuzi soma machapisho (serial publication za AMERICAN INSTITUTE OF PHYSICS JOURNAL Physical Science Publishing - AIP Publishing LLC, wa follow NASA , American chemical society journals and magazine, INSTITUTE OF Physical publishing- IOPscience. pia njoo oxford university press pitia IBM nk.
 
asante mkuu nashukuru sana aise
 
Sema ushauri wa bure we stiki tu na matilio unayopewa na walimu pamoja na vitabu unavyoweza afford physics solve sana nelcon chand na kitabu flan hivi nimekisahau jina rog nn cjuh
Chemistry organic soma chang physical soma APE
Mathe sifahamu nilikimbia
Matilio ya mtandaoni sidhani kama yanaenda na mtaala utapanic ufe bure


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
shukrani aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…