Ninampenda sana!

Uliponea chupu chupu kule kwa mke wa mzee baba mwenye nyumba, Sasa umehamia mke wa watu, kwanini dogo hujipendi?
Ina maana huyo mama hapendi koni Wala wewe kushuka mu chumvi? (Raha ya chumvini mashine iwe unaiona na taa zinawaka)
 
Nilitaka niseme hivi hivi, umeniwahi. Hawa jamaa ni wadhaifu sana mbele ya wanawake.
Kabisa kuna usemi unasema mdigo mzigo, wanaume wengi wa kidigo wanapenda kulelewa. Jamii yao inapenda sana mapenzi.
 
Anza kubadilisha kwenye “o” weka “o” na sio kutuwekea “0”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…